Maombolezo 5:21 - Swahili Revised Union Version21 Ee BWANA, utugeuze kwako, nasi tutageuka; Zifanye mpya siku zetu kama siku za kale. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Uturekebishe ee Mwenyezi-Mungu, nasi tukurudie, uturudishie fahari yetu kama zamani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Uturekebishe ee Mwenyezi-Mungu, nasi tukurudie, uturudishie fahari yetu kama zamani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Uturekebishe ee Mwenyezi-Mungu, nasi tukurudie, uturudishie fahari yetu kama zamani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Turudishe kwako mwenyewe, Ee Mwenyezi Mungu, ili tupate kurudi. Zifanye mpya siku zetu kama siku za kale, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Turudishe kwako mwenyewe, Ee bwana, ili tupate kurudi. Zifanye mpya siku zetu kama siku za kale, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI21 Ee BWANA, utugeuze kwako, nasi tutageuka; Zifanye mpya siku zetu kama siku za kale. Tazama sura |