Maombolezo 5:22 - Swahili Revised Union Version22 Ingawa wewe umetukataa kabisa; Nawe una hasira nyingi sana juu yetu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Au, je, umetukataa kabisa? Je, umetukasirikia mno? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Au, je, umetukataa kabisa? Je, umetukasirikia mno? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Au, je, umetukataa kabisa? Je, umetukasirikia mno? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 isipokuwa uwe umetukataa kabisa na umetukasirikia pasipo kipimo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 isipokuwa uwe umetukataa kabisa na umetukasirikia pasipo kipimo. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI22 Ingawa wewe umetukataa kabisa; Nawe una hasira nyingi sana juu yetu. Tazama sura |