Maombolezo 5:19 - Swahili Revised Union Version19 Wewe, BWANA, unadumu milele; Kiti chako cha enzi ni tangu kizazi hata kizazi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Lakini wewe Mwenyezi-Mungu watawala milele, utawala wako wadumu vizazi vyote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Lakini wewe Mwenyezi-Mungu watawala milele, utawala wako wadumu vizazi vyote. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Lakini wewe Mwenyezi-Mungu watawala milele, utawala wako wadumu vizazi vyote. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Wewe, Ee Mwenyezi Mungu unatawala milele, kiti chako cha enzi chadumu kizazi hadi kizazi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Wewe, Ee bwana unatawala milele, kiti chako cha enzi chadumu kizazi hadi kizazi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI19 Wewe, BWANA, unadumu milele; Kiti chako cha enzi ni tangu kizazi hata kizazi. Tazama sura |