Luka 23:37 - Swahili Revised Union Version37 huku wakisema, Kama wewe ndiwe mfalme wa Wayahudi, ujiokoe mwenyewe. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema37 wakisema: “Kama kweli wewe ni Mfalme wa Wayahudi, jiokoe mwenyewe.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND37 wakisema: “Kama kweli wewe ni Mfalme wa Wayahudi, jiokoe mwenyewe.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza37 wakisema: “Kama kweli wewe ni Mfalme wa Wayahudi, jiokoe mwenyewe.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu37 na wakamwambia, “Kama wewe ni mfalme wa Wayahudi, jiokoe mwenyewe.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu37 na wakamwambia, “Kama wewe ni Mfalme wa Wayahudi, jiokoe mwenyewe.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI37 huku wakisema, Kama wewe ndiwe mfalme wa Wayahudi, ujiokoe mwenyewe. Tazama sura |