Luka 23:20 - Swahili Revised Union Version20 Basi Pilato alisema nao mara ya pili, kwa vile alivyotaka kumfungua Yesu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Pilato alitaka kumwachilia Yesu, hivyo akasema nao tena; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Pilato alitaka kumwachilia Yesu, hivyo akasema nao tena; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Pilato alitaka kumwachilia Yesu, hivyo akasema nao tena; Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Pilato, akitaka kumwachia Isa, akasema nao tena. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Pilato, akitaka kumwachia Isa, akasema nao tena. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI20 Basi Pilato alisema nao mara ya pili, kwa vile alivyotaka kumfungua Yesu. Tazama sura |