Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Luka 22:49 - Swahili Revised Union Version

49 Na wale waliokuwa karibu naye walipoona yatakayotokea, walisema, Bwana, tuwapige kwa upanga?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

49 Wale wanafunzi wake walipoona hayo wakasema, “Bwana, tutumie panga zetu?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

49 Wale wanafunzi wake walipoona hayo wakasema, “Bwana, tutumie panga zetu?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

49 Wale wanafunzi wake walipoona hayo wakasema, “Bwana, tutumie panga zetu?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

49 Wafuasi wa Isa walipoona yale yaliyokuwa yanakaribia kutokea, wakasema, “Bwana, tuwakatekate kwa panga zetu?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

49 Wafuasi wa Isa walipoona yale yaliyokuwa yanakaribia kutokea, wakasema, “Bwana Isa, tuwakatekate kwa panga zetu?”

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

49 Na wale waliokuwa karibu naye walipoona yatakayotokea, walisema, Bwana, tuwapige kwa upanga?

Tazama sura Nakili

Luka 22:49
3 Marejeleo ya Msalaba  

Wakasema, Bwana, tazama, hapa pana panga mbili. Akawaambia, Basi.

Yesu akamwambia, Yuda, wamsaliti Mwana wa Adamu kwa kumbusu?

Mmoja wao akampiga mtumwa wa Kuhani Mkuu, akamkata sikio la kulia.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo