Luka 22:48 - Swahili Revised Union Version48 Yesu akamwambia, Yuda, wamsaliti Mwana wa Adamu kwa kumbusu? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema48 Lakini Yesu akamwambia, “Yuda! Je, unamsaliti Mwana wa Mtu kwa kumbusu?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND48 Lakini Yesu akamwambia, “Yuda! Je, unamsaliti Mwana wa Mtu kwa kumbusu?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza48 Lakini Yesu akamwambia, “Yuda! Je, unamsaliti Mwana wa Mtu kwa kumbusu?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu48 Lakini Isa akamwambia, “Yuda, je, unamsaliti Mwana wa Adamu kwa busu?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu48 Lakini Isa akamwambia, “Yuda, je, unamsaliti Mwana wa Adamu kwa busu?” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI48 Yesu akamwambia, Yuda, wamsaliti Mwana wa Adamu kwa kumbusu? Tazama sura |