Isaya 21:14 - Swahili Revised Union Version14 Waleteeni wenye kiu maji, Enyi wenyeji wa nchi ya Tema; Nendeni kuwalaki wakimbiao na chakula chao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Enyi wakazi wa nchi ya Tema, wapeni maji hao wenye kiu; wapelekeeni chakula hao wakimbizi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Enyi wakazi wa nchi ya Tema, wapeni maji hao wenye kiu; wapelekeeni chakula hao wakimbizi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Enyi wakazi wa nchi ya Tema, wapeni maji hao wenye kiu; wapelekeeni chakula hao wakimbizi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 leteni maji kwa wenye kiu, ninyi mnaoishi Tema, leteni chakula kwa ajili ya wakimbizi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 leteni maji kwa wenye kiu, ninyi mnaoishi Tema, leteni chakula kwa ajili ya wakimbizi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI14 Waleteeni wenye kiu maji, Enyi wenyeji wa nchi ya Tema; Nendeni kuwalaki wakimbiao na chakula chao. Tazama sura |