Isaya 21:13 - Swahili Revised Union Version13 Ufunuo juu ya Arabuni. Ndani ya msitu wa Arabuni mtalala, Enyi misafara ya Wadedani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Kauli ya Mungu dhidi ya Arabia. Enyi misafara ya Dedani, pigeni kambi leo usiku kwenye nyika za Arabia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Kauli ya Mungu dhidi ya Arabia. Enyi misafara ya Dedani, pigeni kambi leo usiku kwenye nyika za Arabia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Kauli ya Mungu dhidi ya Arabia. Enyi misafara ya Dedani, pigeni kambi leo usiku kwenye nyika za Arabia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Neno la unabii kuhusu Arabia: Enyi misafara ya Wadedani, mnaopiga kambi katika vichaka vya Arabia, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Neno kuhusu Arabia: Enyi misafara ya Wadedani, mnaopiga kambi katika vichaka vya Arabia, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI13 Ufunuo juu ya Arabuni. Ndani ya msitu wa Arabuni mtalala, Enyi misafara ya Wadedani. Tazama sura |