Isaya 21:15 - Swahili Revised Union Version15 Kwa maana wanakimbia mbele ya panga, Upanga uliofutwa, na upinde uliopindwa, Na mbele ya ukali wa vita. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Maana wamekimbia mapanga, mapanga yaliyochomolewa, pinde zilizovutwa na ukali wa mapigano. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Maana wamekimbia mapanga, mapanga yaliyochomolewa, pinde zilizovutwa na ukali wa mapigano. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Maana wamekimbia mapanga, mapanga yaliyochomolewa, pinde zilizovutwa na ukali wa mapigano. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Wanaukimbia upanga, upanga uliochomolewa alani, kutoka upinde uliopindwa, na kutoka kwa joto la vita. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Wanaukimbia upanga, kutoka upanga uliochomolewa alani, kutoka upinde uliopindwa, na kutoka kwenye joto la vita. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI15 Kwa maana wanakimbia mbele ya panga, Upanga uliofutwa, na upinde uliopindwa, Na mbele ya ukali wa vita. Tazama sura |