Hosea 7:11 - Swahili Revised Union Version11 Naye Efraimu amekuwa kama njiwa mpumbavu, asiye na fahamu; humwita Misri, huenda Ashuru. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Efraimu ni kama njiwa, mjinga asiye na akili; mara yuko Misri, mara Ashuru kuomba. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Efraimu ni kama njiwa, mjinga asiye na akili; mara yuko Misri, mara Ashuru kuomba. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Efraimu ni kama njiwa, mjinga asiye na akili; mara yuko Misri, mara Ashuru kuomba. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 “Efraimu ni kama hua, hudanganywa kwa urahisi na hana akili: mara anaita Misri, mara anageukia Ashuru. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 “Efraimu ni kama hua, hudanganywa kwa urahisi na hana akili: mara anaita Misri, mara anageukia Ashuru. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI11 Naye Efraimu amekuwa kama njiwa mpumbavu, asiye na fahamu; humwita Misri, huenda Ashuru. Tazama sura |