Hosea 7:10 - Swahili Revised Union Version10 Na kiburi cha Israeli chamshuhudia mbele ya uso wake; ila hata hivyo hawakumrudia BWANA, Mungu wao, wala hawakumtafuta kwa ajili ya hayo yote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Kiburi cha Waisraeli chashuhudia dhidi yao, hawanirudii mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wao; wala hawanitafuti kwa matukio hayo yote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Kiburi cha Waisraeli chashuhudia dhidi yao, hawanirudii mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wao; wala hawanitafuti kwa matukio hayo yote. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Kiburi cha Waisraeli chashuhudia dhidi yao, hawanirudii mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wao; wala hawanitafuti kwa matukio hayo yote. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Kiburi cha Israeli kinashuhudia dhidi yake, lakini pamoja na haya yote harudi kwa Mwenyezi Mungu, Mungu wake, wala kumtafuta. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Kiburi cha Israeli kinashuhudia dhidi yake, lakini pamoja na haya yote harudi kwa bwana Mwenyezi Mungu wake wala kumtafuta. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI10 Na kiburi cha Israeli chamshuhudia mbele ya uso wake; ila hata hivyo hawakumrudia BWANA, Mungu wao, wala hawakumtafuta kwa ajili ya hayo yote. Tazama sura |