Hosea 4:18 - Swahili Revised Union Version18 Kileo chao kimegeuka kuwa uchungu; huzini daima; wakuu wake hupenda aibu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Kama vile genge la walevi, wanajitosa wenyewe katika uzinzi; wanapendelea aibu kuliko heshima yao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Kama vile genge la walevi, wanajitosa wenyewe katika uzinzi; wanapendelea aibu kuliko heshima yao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Kama vile genge la walevi, wanajitosa wenyewe katika uzinzi; wanapendelea aibu kuliko heshima yao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Hata wakati wamemaliza vileo vyao wanaendelea na ukahaba wao, watawala wao hupenda sana njia za aibu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Hata wakati wamemaliza vileo vyao wanaendelea na ukahaba wao, watawala wao hupenda sana njia za aibu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI18 Kileo chao kimegeuka kuwa uchungu; huzini daima; wakuu wake hupenda aibu. Tazama sura |