Hosea 4:19 - Swahili Revised Union Version19 Upepo umemfunika kwa mbawa zake; nao watatahayarika kwa sababu ya dhabihu zao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Basi, kimbunga kitawapeperusha, na watayaonea aibu matambiko yao kwa miungu ya uongo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Basi, kimbunga kitawapeperusha, na watayaonea aibu matambiko yao kwa miungu ya uongo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Basi, kimbunga kitawapeperusha, na watayaonea aibu matambiko yao kwa miungu ya uongo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Kisulisuli kitawafagilia mbali na dhabihu zao zitawaletea aibu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Kisulisuli kitawafagilia mbali na dhabihu zao zitawaletea aibu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI19 Upepo umemfunika kwa mbawa zake; nao watatahayarika kwa sababu ya dhabihu zao. Tazama sura |