Hesabu 3:18 - Swahili Revised Union Version18 Na majina ya wana wa Gershoni kwa jamaa zao ni Libni na Shimei. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Na haya ndiyo majina ya wana wa Gershoni kwa kufuata familia zao: Libni na Shimei. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Na haya ndiyo majina ya wana wa Gershoni kwa kufuata familia zao: Libni na Shimei. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Na haya ndiyo majina ya wana wa Gershoni kwa kufuata familia zao: Libni na Shimei. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Haya ndio yaliyokuwa majina ya koo za Wagershoni: Libni na Shimei. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Haya ndiyo yaliyokuwa majina ya koo za Wagershoni: Libni na Shimei. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI18 Na majina ya wana wa Gershoni kwa jamaa zao ni Libni na Shimei. Tazama sura |