Hesabu 3:17 - Swahili Revised Union Version17 Na wana wa Lawi walikuwa ni hawa kwa majina yao; Gershoni, na Kohathi, na Merari. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Wafuatao ndio waliokuwa wana wa Lawi: Gershoni, Kohathi na Merari. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Wafuatao ndio waliokuwa wana wa Lawi: Gershoni, Kohathi na Merari. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Wafuatao ndio waliokuwa wana wa Lawi: Gershoni, Kohathi na Merari. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Haya yalikuwa majina ya wana wa Lawi: Gershoni, Kohathi na Merari. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Haya yalikuwa majina ya wana wa Lawi: Gershoni, Kohathi na Merari. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI17 Na wana wa Lawi walikuwa ni hawa kwa majina yao; Gershoni, na Kohathi, na Merari. Tazama sura |