Hesabu 26:41 - Swahili Revised Union Version41 Hao ndio wana wa Benyamini kwa jamaa zao; na waliohesabiwa kwao walikuwa elfu arubaini na tano na mia sita. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema41 Hizo ndizo koo za Benyamini, jumla wanaume 45,600. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND41 Hizo ndizo koo za Benyamini, jumla wanaume 45,600. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza41 Hizo ndizo koo za Benyamini, jumla wanaume 45,600. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu41 Hizo zilikuwa koo za Benyamini; wale waliohesabiwa walikuwa elfu arobaini na tano na mia sita. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu41 Hizi ndizo zilizokuwa koo za Benyamini; wale waliohesabiwa walikuwa 45,600. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI41 Hao ndio wana wa Benyamini kwa jamaa zao; na waliohesabiwa kwao walikuwa elfu arobaini na tano na mia sita. Tazama sura |