Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Hesabu 26:42 - Swahili Revised Union Version

42 Na wana wa Dani ni hawa kwa jamaa zao; wa Shuhamu, jamaa ya Washuhamu. Hizi ndizo jamaa za Dani kwa jamaa zao.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

42 Kabila la Dani lilikuwa na jamaa ya Shuhamu;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

42 Kabila la Dani lilikuwa na jamaa ya Shuhamu;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

42 Kabila la Dani lilikuwa na jamaa ya Shuhamu;

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

42 Hawa walikuwa wazao wa Dani kwa koo zao: kutoka kwa Shuhamu, ukoo wa Washuhamu. Hizo zilikuwa koo za Dani:

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

42 Hawa ndio waliokuwa wazao wa Dani kwa koo zao: kutoka kwa Shuhamu, ukoo wa Washuhamu. Hizi ndizo zilizokuwa koo za Dani:

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

42 Na wana wa Dani ni hawa kwa jamaa zao; wa Shuhamu, jamaa ya Washuhamu. Hizi ndizo jamaa za Dani kwa jamaa zao.

Tazama sura Nakili




Hesabu 26:42
4 Marejeleo ya Msalaba  

Na wana wa Dani; Hushimu.


Katika wana wa Dani, vizazi vyao, kwa kufuata jamaa zao, na nyumba za baba zao, kama hesabu ya majina, kuanzia umri wa miaka ishirini na zaidi, wote walioweza kwenda vitani;


Hao ndio wana wa Benyamini kwa jamaa zao; na waliohesabiwa kwao walikuwa elfu arubaini na tano na mia sita.


Jamaa zote za Washuhamu, kama waliohesabiwa kwao, walikuwa elfu sitini na nne na mia nne.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo