Hesabu 26:40 - Swahili Revised Union Version40 Na wana wa Bela walikuwa Ardi na Naamani; wa Ardi, jamaa ya Waardi; wa Naamani, jamaa ya Wanaamani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema40 Koo za Ardi na Naamani, zilitokana na Bela. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND40 Koo za Ardi na Naamani, zilitokana na Bela. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza40 Koo za Ardi na Naamani, zilitokana na Bela. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu40 Wazao wa Bela kutoka kwa Ardi na Naamani walikuwa: kutoka kwa Ardi, ukoo wa Waardi; kutoka kwa Naamani, ukoo wa Wanaamani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu40 Wazao wa Bela kutoka kwa Ardi na Naamani walikuwa: kutoka kwa Ardi, ukoo wa Waardi; kutoka kwa Naamani, ukoo wa Wanaamani. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI40 Na wana wa Bela walikuwa Ardi na Naamani; wa Ardi, jamaa ya Waardi; wa Naamani, jamaa ya Wanaamani. Tazama sura |