Hesabu 26:26 - Swahili Revised Union Version26 Na wana wa Zabuloni kwa jamaa zao; wa Seredi, jamaa ya Waseredi; wa Eloni, jamaa ya Waeloni; wa Yaleeli, jamaa ya Wayaleeli. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 Kabila la Zebuluni lilikuwa na jamaa za Seredi, wa Eloni na wa Yaleeli. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 Kabila la Zebuluni lilikuwa na jamaa za Seredi, wa Eloni na wa Yaleeli. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 Kabila la Zebuluni lilikuwa na jamaa za Seredi, wa Eloni na wa Yaleeli. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 Wazao wa Zabuloni kwa koo zao walikuwa: kutoka kwa Seredi, ukoo wa Waseredi; kutoka kwa Eloni, ukoo wa Waeloni; kutoka kwa Yaleeli, ukoo wa Wayaleeli. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 Wazao wa Zabuloni kwa koo zao walikuwa: kutoka kwa Seredi, ukoo wa Waseredi; kutoka kwa Eloni, ukoo wa Waeloni; kutoka kwa Yaleeli, ukoo wa Wayaleeli. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI26 Na wana wa Zabuloni kwa jamaa zao; wa Seredi, jamaa ya Waseredi; wa Eloni, jamaa ya Waeloni; wa Yaleeli, jamaa ya Wayaleeli. Tazama sura |