Hesabu 26:27 - Swahili Revised Union Version27 Hawa ndio jamaa wa Wazabuloni kama waliohesabiwa kwao, elfu sitini na mia tano. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema27 Hizo ndizo koo za Zebuluni, jumla wanaume 60,500. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND27 Hizo ndizo koo za Zebuluni, jumla wanaume 60,500. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza27 Hizo ndizo koo za Zebuluni, jumla wanaume 60,500. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu27 Hizo zilikuwa koo za Zabuloni; wale waliohesabiwa walikuwa elfu sitini na mia tano. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu27 Hizi ndizo zilizokuwa koo za Zabuloni, wale waliohesabiwa walikuwa 60,500. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI27 Hawa ndio jamaa wa Wazabuloni kama waliohesabiwa kwao, elfu sitini na mia tano. Tazama sura |