Hesabu 26:25 - Swahili Revised Union Version25 Hawa ndio jamaa wa Isakari kama waliohesabiwa kwao, elfu sitini na nne na mia tatu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Hizo ndizo koo za Isakari, jumla wanaume 64,300. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Hizo ndizo koo za Isakari, jumla wanaume 64,300. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Hizo ndizo koo za Isakari, jumla wanaume 64,300. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 Hizo zilikuwa koo za Isakari; wale waliohesabiwa walikuwa elfu sitini na nne na mia tatu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 Hizi ndizo zilizokuwa koo za Isakari; wale waliohesabiwa walikuwa 64,300. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI25 Hawa ndio jamaa wa Isakari kama waliohesabiwa kwao, elfu sitini na nne na mia tatu. Tazama sura |