Hesabu 26:22 - Swahili Revised Union Version22 Hawa ndio jamaa wa Yuda kama waliohesabiwa kwao, elfu sabini na sita na mia tano. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Hizo ndizo koo za Yuda, jumla wanaume 76,500. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Hizo ndizo koo za Yuda, jumla wanaume 76,500. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Hizo ndizo koo za Yuda, jumla wanaume 76,500. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 Hizo zilikuwa koo za Yuda; wale waliohesabiwa walikuwa elfu sabini na sita na mia tano. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 Hizi ndizo zilizokuwa koo za Yuda; wale waliohesabiwa walikuwa 76,500. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI22 Hawa ndio jamaa wa Yuda kama waliohesabiwa kwao, elfu sabini na sita na mia tano. Tazama sura |