Hesabu 1:4 - Swahili Revised Union Version4 Tena mwanamume mmoja wa kila kabila atakuwa pamoja nanyi; kila mmoja aliye kichwa cha nyumba ya baba zake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Tena mwanamume mmoja wa kila kabila atakuwa pamoja nanyi, kila mmoja aliye kiongozi wa jamaa za kabila lake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Tena mwanamume mmoja wa kila kabila atakuwa pamoja nanyi, kila mmoja aliye kiongozi wa jamaa za kabila lake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Tena mwanamume mmoja wa kila kabila atakuwa pamoja nanyi, kila mmoja aliye kiongozi wa jamaa za kabila lake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Mwanaume mmoja kutoka kila kabila, kila aliye kiongozi wa jamaa yake, atawasaidia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Mwanaume mmoja kutoka kila kabila, kila aliye kiongozi wa jamaa yake, atawasaidia. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Tena mwanamume mmoja wa kila kabila atakuwa pamoja nanyi; kila mmoja aliye kichwa cha nyumba ya baba zake. Tazama sura |