2 Samueli 22:5 - Swahili Revised Union Version5 Maana mawimbi ya mauti yalinizunguka, Mafuriko ya uovu yakanitia hofu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 “Maana mawimbi ya kifo yalinizingira, mafuriko ya maangamizi yalinivamia; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 “Maana mawimbi ya kifo yalinizingira, mafuriko ya maangamizi yalinivamia; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 “Maana mawimbi ya kifo yalinizingira, mafuriko ya maangamizi yalinivamia; Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Mawimbi ya mauti yalinizunguka, mafuriko ya maangamizi yalinilemea. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 “Mawimbi ya mauti yalinizunguka, mafuriko ya maangamizi yalinilemea. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 Maana mawimbi ya mauti yalinizunguka, Mafuriko ya uovu yakanitia hofu. Tazama sura |