Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




2 Samueli 22:6 - Swahili Revised Union Version

6 Kamba za kuzimu zilinizunguka; Mitego ya mauti ikanikabili.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

6 kamba za kuzimu zilinizinga, mitego ya kifo ilinikabili.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

6 kamba za kuzimu zilinizinga, mitego ya kifo ilinikabili.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

6 kamba za kuzimu zilinizinga, mitego ya kifo ilinikabili.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

6 Kamba za Kuzimu zilinizunguka, mitego ya mauti ilinikabili.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

6 Kamba za kuzimu zilinizunguka, mitego ya mauti ilinikabili.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

6 Kamba za kuzimu zilinizunguka; Mitego ya mauti ikanikabili.

Tazama sura Nakili




2 Samueli 22:6
10 Marejeleo ya Msalaba  

Nao wakifungwa kwa pingu, Wakitwaliwa kwa kamba za mateso;


Kamba za mauti zilinizunguka, Shida za kuzimu zilinipata. Nilipata dhiki na mateso;


Wenye kiburi wamenifichia mtego na kamba; Wametandika wavu kando ya njia; Wameniwekea matanzi.


Kamba za kuzimu zilinizunguka, Mitego ya mauti ikanikabili.


Sheria ya mwenye akili ni chemchemi ya uzima, Ili kuepukana na tanzi za mauti.


Kumcha BWANA ni chemchemi ya uzima, Ili kuepukana na tanzi za mauti.


Maovu yake yeye yatampata mdhalimu, Naye atashikwa kwa kamba za dhambi zake.


Akasema, Nilimlilia BWANA kwa sababu ya shida yangu, Naye akaniitikia; Katika tumbo la kuzimu niliomba, Nawe ukasikia sauti yangu.


Lakini, hapo mtakapoona mji wa Yerusalemu umezungukwa na majeshi, basi jueni ya kwamba uharibifu wake umekaribia.


ambaye Mungu alimfufua, akiufungua uchungu wa mauti, kwa sababu haikuwezekana ashikwe nao.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo