Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

2 Samueli 22:47 - Swahili Revised Union Version

47 BWANA yu hai; Na ahimidiwe mwamba wangu; Na atukuzwe Mungu wangu, mwamba wa wokovu wangu;

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

47 “Mwenyezi-Mungu yu hai! Asifiwe mwamba wangu! Atukuzwe Mungu wangu, mwamba wa wokovu wangu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

47 “Mwenyezi-Mungu yu hai! Asifiwe mwamba wangu! Atukuzwe Mungu wangu, mwamba wa wokovu wangu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

47 “Mwenyezi-Mungu yu hai! Asifiwe mwamba wangu! Atukuzwe Mungu wangu, mwamba wa wokovu wangu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

47 “Mwenyezi Mungu yu hai! Sifa ni kwa Mwamba wangu! Atukuzwe Mungu, Mwamba, Mwokozi wangu!

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

47 “bwana yu hai! Sifa ni kwa Mwamba wangu! Atukuzwe Mungu, Mwamba, Mwokozi wangu!

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

47 BWANA yu hai; Na ahimidiwe mwamba wangu; Na atukuzwe Mungu wangu, mwamba wa wokovu wangu;

Tazama sura Nakili

2 Samueli 22:47
7 Marejeleo ya Msalaba  

Mungu wa mwamba wangu, nitamwamini yeye; Ngao yangu, na pembe ya wokovu wangu, mnara wangu, na kimbilio langu; Mwokozi wangu, waniokoa na jeuri.

Lakini mimi najua ya kuwa Mteteaji wangu yu hai, Na ya kuwa hatimaye atasimama juu ya nchi.

Yeye ataniita, Wewe ni baba yangu, Mungu wangu na mwamba wa wokovu wangu.

Nami nitamjalia kuwa mzaliwa wangu wa kwanza, Kuwa juu sana kuliko wafalme wote wa dunia.

BWANA ni nguvu zangu, na wimbo wangu; Naye amekuwa wokovu wangu. Yeye ni Mungu wangu, nami nitamsifu; Ni Mungu wa baba yangu, nami nitamtukuza.

Na roho yangu imemfurahia Mungu, Mwokozi wangu;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo