2 Samueli 22:48 - Swahili Revised Union Version48 Naam, Mungu anilipiziaye kisasi, Na kuwatweza watu chini yangu, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema48 Yeye ameniwezesha kulipiza kisasi na kuyatiisha mataifa chini yangu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND48 Yeye ameniwezesha kulipiza kisasi na kuyatiisha mataifa chini yangu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza48 Yeye ameniwezesha kulipiza kisasi na kuyatiisha mataifa chini yangu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu48 Yeye ndiye Mungu anilipiziaye kisasi, ayawekaye mataifa chini yangu, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu48 Yeye ndiye Mungu anilipiziaye kisasi, ayawekaye mataifa chini yangu, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI48 Naam, Mungu anilipiziaye kisasi, Na kuwatweza watu chini yangu, Tazama sura |
Naye Daudi aliposikia ya kwamba Nabali amekufa, alisema, Na ahimidiwe BWANA ambaye amenitetea teto la shutumu langu mkononi mwa Nabali, na kumzuia mtumishi wake asitende maovu; tena uovu wake Nabali BWANA amemrudishia juu ya kichwa chake mwenyewe. Kisha Daudi akatuma watu, akamposa Abigaili ili amwoe.