2 Samueli 22:30 - Swahili Revised Union Version30 Maana kwa msaada wako nafuatia jeshi; Kwa msaada wa Mungu wangu ninaruka ukuta. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema30 Kwa msaada wako, wakishambulia kikosi; wewe wanipa nguvu ya kuruka kuta zake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND30 Kwa msaada wako, wakishambulia kikosi; wewe wanipa nguvu ya kuruka kuta zake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza30 Kwa msaada wako, wakishambulia kikosi; wewe wanipa nguvu ya kuruka kuta zake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu30 Kwa msaada wako naweza kushinda jeshi, nikiwa pamoja na Mungu wangu nitaweza kuruka ukuta. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu30 Kwa msaada wako naweza kushinda jeshi, nikiwa pamoja na Mungu wangu nitaweza kuruka ukuta. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI30 Maana kwa msaada wako nafuatia jeshi; Kwa msaada wa Mungu wangu ninaruka ukuta. Tazama sura |