2 Samueli 21:22 - Swahili Revised Union Version22 Hao wanne walizaliwa kwake huyo Mrefai wa Gathi; wakaanguka kwa mkono wa Daudi, na kwa mikono ya watumishi wake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Hao wanne walikuwa wazawa wa majitu huko Gathi, nao waliuawa na Daudi pamoja na watumishi wake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Hao wanne walikuwa wazawa wa majitu huko Gathi, nao waliuawa na Daudi pamoja na watumishi wake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Hao wanne walikuwa wazawa wa majitu huko Gathi, nao waliuawa na Daudi pamoja na watumishi wake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 Hawa wanne walikuwa wazao wa Warefai huko Gathi, nao walianguka kwa mikono ya Daudi na watu wake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 Hawa wanne walikuwa wazao wa Warefai huko Gathi, nao walianguka kwa mikono ya Daudi na watu wake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI22 Hao wanne walizaliwa kwake huyo Mrefai wa Gathi; wakaanguka kwa mkono wa Daudi, na kwa mikono ya watumishi wake. Tazama sura |