Ndipo akaondoka Zerubabeli, mwana wa Shealtieli, na Yoshua, mwana wa Yosadaki, wakaanza kuijenga nyumba ya Mungu iliyoko Yerusalemu; na pamoja nao walikuwa manabii wa Mungu, wakiwasaidia.
Zekaria 4:4 - Swahili Revised Union Version Nami nikajibu, nikamwambia yule malaika aliyesema nami, nikasema, Ee Bwana wangu, vitu hivi ni nini? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, nikamwuliza huyo malaika, “Bwana, vitu hivi vinamaanisha nini?” Biblia Habari Njema - BHND Basi, nikamwuliza huyo malaika, “Bwana, vitu hivi vinamaanisha nini?” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, nikamwuliza huyo malaika, “Bwana, vitu hivi vinamaanisha nini?” Neno: Bibilia Takatifu Nikamuuliza malaika aliyezungumza nami, “Hivi ni vitu gani, bwana wangu?” Neno: Maandiko Matakatifu Nikamuuliza malaika aliyezungumza nami, “Hivi ni vitu gani, bwana wangu?” BIBLIA KISWAHILI Nami nikajibu, nikamwambia yule malaika aliyesema nami, nikasema, Ee Bwana wangu, vitu hivi ni nini? |
Ndipo akaondoka Zerubabeli, mwana wa Shealtieli, na Yoshua, mwana wa Yosadaki, wakaanza kuijenga nyumba ya Mungu iliyoko Yerusalemu; na pamoja nao walikuwa manabii wa Mungu, wakiwasaidia.
Nami nikasikia, lakini sikuelewa; ndipo nikasema, Ee Bwana wangu, mwisho wa mambo haya utakuwaje?
Nami nikamwuliza yule malaika aliyesema nami, Nini hizi? Naye akanijibu, Hizi ndizo pembe zilizowatawanya watu wa Yuda, na Israeli, na Yerusalemu.
Ndipo nikasema, Ee Bwana wangu, ni nini hawa? Basi yule malaika aliyesema nami akaniambia, Nitakuonesha ni nini hawa.
Ndipo malaika aliyesema nami akajibu, akaniambia, Hujui vitu hivi ni nini? Nikasema, La, Bwana wangu.
Nikasema, Ni kitu gani? Akasema, Kitu hiki ni efa itokeayo. Tena akasema, Huu ndio uovu wao katika nchi hii yote;
Kisha Yesu akawaaga makutano, akaingia katika nyumba; wanafunzi wake wakamwendea, wakasema, Tufafanulie mfano wa magugu ya shambani.