Zekaria 4:4 - Swahili Revised Union Version4 Nami nikajibu, nikamwambia yule malaika aliyesema nami, nikasema, Ee Bwana wangu, vitu hivi ni nini? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Basi, nikamwuliza huyo malaika, “Bwana, vitu hivi vinamaanisha nini?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Basi, nikamwuliza huyo malaika, “Bwana, vitu hivi vinamaanisha nini?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Basi, nikamwuliza huyo malaika, “Bwana, vitu hivi vinamaanisha nini?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Nikamuuliza malaika aliyezungumza nami, “Hivi ni vitu gani, bwana wangu?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Nikamuuliza malaika aliyezungumza nami, “Hivi ni vitu gani, bwana wangu?” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Nami nikajibu, nikamwambia yule malaika aliyesema nami, nikasema, Ee Bwana wangu, vitu hivi ni nini? Tazama sura |