Zekaria 6:4 - Swahili Revised Union Version4 Nikajibu, nikamwuliza yule malaika aliyesema nami, Hawa ni nini, Bwana wangu? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Basi, nikamwuliza yule malaika aliyeongea nami, “Bwana, magari haya ya farasi yanamaanisha nini?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Basi, nikamwuliza yule malaika aliyeongea nami, “Bwana, magari haya ya farasi yanamaanisha nini?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Basi, nikamwuliza yule malaika aliyeongea nami, “Bwana, magari haya ya farasi yanamaanisha nini?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Nikamuuliza malaika aliyekuwa akizungumza nami, “Hawa ni nani, bwana wangu?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Nikamuuliza malaika aliyekuwa akizungumza nami, “Hawa ni nani bwana wangu?” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Nikajibu, nikamwuliza yule malaika aliyesema nami, Hawa ni nini, Bwana wangu? Tazama sura |