Zekaria 6:3 - Swahili Revised Union Version3 na katika gari la tatu walikuwa farasi weupe; na katika gari la nne walikuwa farasi wa rangi ya kijivujivu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 la tatu lilikokotwa na farasi weupe, na la nne lilikokotwa na farasi wa kijivujivu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 la tatu lilikokotwa na farasi weupe, na la nne lilikokotwa na farasi wa kijivujivu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 la tatu lilikokotwa na farasi weupe, na la nne lilikokotwa na farasi wa kijivujivu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 la tatu lilivutwa na farasi weupe, na gari la nne lilivutwa na farasi wa madoadoa ya kijivu, wote wenye nguvu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 la tatu lilivutwa na farasi weupe na gari la nne lilivutwa na farasi wa madoadoa ya kijivu, wote wenye nguvu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 na katika gari la tatu walikuwa farasi weupe; na katika gari la nne walikuwa farasi wa rangi ya kijivujivu. Tazama sura |