Zekaria 6:2 - Swahili Revised Union Version2 Katika gari la kwanza walikuwa farasi wekundu; na katika gari la pili walikuwa farasi weusi; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Gari la kwanza lilikokotwa na farasi wekundu, la pili lilikokotwa na farasi weusi, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Gari la kwanza lilikokotwa na farasi wekundu, la pili lilikokotwa na farasi weusi, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Gari la kwanza lilikokotwa na farasi wekundu, la pili lilikokotwa na farasi weusi, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Gari la kwanza lilivutwa na farasi wekundu, la pili lilivutwa na farasi weusi, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Gari la kwanza lilivutwa na farasi wekundu, la pili lilivutwa na farasi weusi, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 Katika gari la kwanza walikuwa farasi wekundu; na katika gari la pili walikuwa farasi weusi; Tazama sura |