Zaburi 127:4 - Swahili Revised Union Version Kama mishale mkononi mwa shujaa, Ndivyo walivyo watoto wa ujanani. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Watoto waliozaliwa wazazi wakiwa bado vijana, ni kama mishale mikononi mwa askari. Biblia Habari Njema - BHND Watoto waliozaliwa wazazi wakiwa bado vijana, ni kama mishale mikononi mwa askari. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Watoto waliozaliwa wazazi wakiwa bado vijana, ni kama mishale mikononi mwa askari. Neno: Bibilia Takatifu Kama mishale mikononi mwa shujaa ndivyo walivyo wana awazaao mtu katika ujana wake. Neno: Maandiko Matakatifu Kama mishale mikononi mwa shujaa ndivyo walivyo wana awazaao mtu katika ujana wake. BIBLIA KISWAHILI Kama mishale mkononi mwa shujaa, Ndivyo walivyo watoto wa ujanani. |
Kwa maana juu ya Babeli nitaamsha na kuleta kusanyiko la mataifa makubwa, toka nchi ya kaskazini; nao watajipanga juu yake; kutoka huko atatwaliwa; mishale yao itakuwa kama ya mtu shujaa aliye stadi; hakuna hata mmoja utakaorudi bure.