Zaburi 127:3 - Swahili Revised Union Version3 Tazama, watoto ni urithi kutoka kwa BWANA, Uzao wa tumbo ni thawabu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Watoto ni riziki kutoka kwa Mwenyezi-Mungu; watoto ni tuzo lake kwetu sisi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Watoto ni riziki kutoka kwa Mwenyezi-Mungu; watoto ni tuzo lake kwetu sisi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Watoto ni riziki kutoka kwa Mwenyezi-Mungu; watoto ni tuzo lake kwetu sisi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Watoto ni urithi unaotoka kwa Mwenyezi Mungu, uzao ni zawadi kutoka kwake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Wana ni urithi utokao kwa bwana, watoto ni zawadi kutoka kwake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Tazama, watoto ni urithi kutoka kwa BWANA, Uzao wa tumbo ni thawabu. Tazama sura |