Zaburi 127:4 - Swahili Revised Union Version4 Kama mishale mkononi mwa shujaa, Ndivyo walivyo watoto wa ujanani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Watoto waliozaliwa wazazi wakiwa bado vijana, ni kama mishale mikononi mwa askari. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Watoto waliozaliwa wazazi wakiwa bado vijana, ni kama mishale mikononi mwa askari. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Watoto waliozaliwa wazazi wakiwa bado vijana, ni kama mishale mikononi mwa askari. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Kama mishale mikononi mwa shujaa ndivyo walivyo wana awazaao mtu katika ujana wake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Kama mishale mikononi mwa shujaa ndivyo walivyo wana awazaao mtu katika ujana wake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Kama mishale mkononi mwa shujaa, Ndivyo walivyo watoto wa ujanani. Tazama sura |