Zaburi 127:5 - Swahili Revised Union Version5 Heri mtu yule Aliyelijaza podo lake hivyo. Naam, hawataona aibu Wanaposema na adui langoni. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Heri mtu aliye na mishale hiyo kwa wingi. Hatashindwa atakapokabiliana na adui mahakamani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Heri mtu aliye na mishale hiyo kwa wingi. Hatashindwa atakapokabiliana na adui mahakamani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Heri mtu aliye na mishale hiyo kwa wingi. Hatashindwa atakapokabiliana na adui mahakamani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Heri mtu ambaye podo lake limejazwa nao. Hawataaibishwa wanaposhindana na adui zao langoni. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Heri mtu ambaye podo lake limejazwa nao. Hawataaibishwa wanaposhindana na adui zao langoni. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 Heri mtu yule Aliyelijaza podo lake hivyo. Naam, hawataona aibu Wanaposema na adui langoni. Tazama sura |