Zaburi 102:7 - Swahili Revised Union Version Nakesha, tena nimekuwa kama shomoro Aliye peke yake juu ya nyumba. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ninalala macho wazi, kama ndege mkiwa juu ya paa. Biblia Habari Njema - BHND Ninalala macho wazi, kama ndege mkiwa juu ya paa. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ninalala macho wazi, kama ndege mkiwa juu ya paa. Neno: Bibilia Takatifu Nilalapo sipati usingizi; nimekuwa kama ndege mpweke kwenye paa la nyumba. Neno: Maandiko Matakatifu Nilalapo sipati usingizi, nimekuwa kama ndege mpweke kwenye paa la nyumba. BIBLIA KISWAHILI Nakesha, tena nimekuwa kama shomoro Aliye peke yake juu ya nyumba. |
Nafsi yangu inamngoja Bwana, Kuliko walinzi waingojavyo asubuhi, Naam, walinzi waingojao asubuhi.
Wanipendao na rafiki zangu wanasimama mbali na pigo langu; Na jamaa zangu wanasimama mbali.