Zaburi 102:7 - Swahili Revised Union Version7 Nakesha, tena nimekuwa kama shomoro Aliye peke yake juu ya nyumba. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Ninalala macho wazi, kama ndege mkiwa juu ya paa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Ninalala macho wazi, kama ndege mkiwa juu ya paa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Ninalala macho wazi, kama ndege mkiwa juu ya paa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Nilalapo sipati usingizi; nimekuwa kama ndege mpweke kwenye paa la nyumba. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Nilalapo sipati usingizi, nimekuwa kama ndege mpweke kwenye paa la nyumba. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI7 Nakesha, tena nimekuwa kama shomoro Aliye peke yake juu ya nyumba. Tazama sura |