Na jamaa za Kiriath-Yearimu; Waithri, na Waputhi, na Washumathi, na Wamishrai; katika hao walitoka Wasorathi, na Waeshtaoli.
Yoshua 19:41 - Swahili Revised Union Version Na mpaka wa urithi wao ulikuwa ni Sora, Eshtaoli, Irishemeshi; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Eneo la nchi yao lilikuwa na miji ya Sora, Eshtaoli, Ir-shemeshi Biblia Habari Njema - BHND Eneo la nchi yao lilikuwa na miji ya Sora, Eshtaoli, Ir-shemeshi Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Eneo la nchi yao lilikuwa na miji ya Sora, Eshtaoli, Ir-shemeshi Neno: Bibilia Takatifu Eneo la urithi wao lilijumuisha: Sora, Eshtaoli, Iri-Shemeshi, Neno: Maandiko Matakatifu Eneo la urithi wao lilijumuisha: Sora, Eshtaoli, Iri-Shemeshi, BIBLIA KISWAHILI Na mpaka wa urithi wao ulikuwa ni Sora, Eshtaoli, Irishemeshi; |
Na jamaa za Kiriath-Yearimu; Waithri, na Waputhi, na Washumathi, na Wamishrai; katika hao walitoka Wasorathi, na Waeshtaoli.
Kisha sehemu ya saba ilitokea kwa ajili ya kabila la wana wa Dani kwa kufuata jamaa zao.
Palikuwa na mtu mmoja wa Sora, wa jamaa ya Wadani; jina lake akiitwa Manoa; na mkewe alikuwa tasa, hakuzaa watoto.
Ndipo ndugu zake, na watu wote wa nyumba ya baba yake wakateremka, wakamtwaa wakamchukua, wakamzika kati ya Sora na Eshtaoli, katika kiwanja cha kuzikia cha Manoa baba yake. Naye alikuwa mwamuzi wa Israeli muda wa miaka ishirini.
Basi wana wa Dani wakatuma watu watano kutoka kwa koo zao zote, watu mashujaa, kutoka Sora, na kutoka Eshtaoli, ili kuipeleleza hiyo nchi, kuikagua; wakawaambia, Haya, endeni mkaikague nchi hii; basi wakaifikia nchi ya vilima vilima ya Efraimu, hadi nyumba ya huyo Mika, Wakalala huko.