Wana wa Lea ni Reubeni, mzaliwa wa kwanza wa Yakobo, na Simeoni, na Lawi, na Yuda, na Isakari, na Zabuloni.
Yoshua 19:17 - Swahili Revised Union Version Kisha sehemu ya nne ilitokea kwa ajili ya Isakari, maana, ni kwa ajili ya wana wa Isakari kwa kufuata jamaa zao. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kura ya nne ilizipata koo za kabila la Isakari. Biblia Habari Njema - BHND Kura ya nne ilizipata koo za kabila la Isakari. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kura ya nne ilizipata koo za kabila la Isakari. Neno: Bibilia Takatifu Kura ya nne ikaangukia kabila la Isakari, kufuatana na koo zao. Neno: Maandiko Matakatifu Kura ya nne ikamwangukia Isakari, ukoo kwa ukoo. BIBLIA KISWAHILI Kisha sehemu ya nne ilitokea kwa ajili ya Isakari, na ni kwa ajili ya wana wa Isakari kwa kufuata jamaa zao. |
Wana wa Lea ni Reubeni, mzaliwa wa kwanza wa Yakobo, na Simeoni, na Lawi, na Yuda, na Isakari, na Zabuloni.
Tena mpakani mwa Simeoni, toka upande wa mashariki hata upande wa magharibi; Isakari, fungu moja.
Lakini nchi itagawanywa kwa kura; kwa majina ya makabila ya baba zao, ndivyo watakavyopata urithi.
Huu ndio urithi wa wana wa Zabuloni kwa kufuata jamaa zao; miji hii pamoja na vijiji vyake.
Wa kabila la Simeoni elfu kumi na mbili. Wa kabila la Lawi elfu kumi na mbili. Wa kabila la Isakari elfu kumi na mbili.