Yoshua 19:17 - Swahili Revised Union Version17 Kisha sehemu ya nne ilitokea kwa ajili ya Isakari, maana, ni kwa ajili ya wana wa Isakari kwa kufuata jamaa zao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Kura ya nne ilizipata koo za kabila la Isakari. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Kura ya nne ilizipata koo za kabila la Isakari. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Kura ya nne ilizipata koo za kabila la Isakari. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Kura ya nne ikaangukia kabila la Isakari, kufuatana na koo zao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Kura ya nne ikamwangukia Isakari, ukoo kwa ukoo. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI17 Kisha sehemu ya nne ilitokea kwa ajili ya Isakari, na ni kwa ajili ya wana wa Isakari kwa kufuata jamaa zao. Tazama sura |