Yoshua 19:16 - Swahili Revised Union Version16 Huu ndio urithi wa wana wa Zabuloni kwa kufuata jamaa zao; miji hii pamoja na vijiji vyake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Hiyo ndiyo sehemu zilizopewa koo za kabila la Zebuluni miji hiyo pamoja na vijiji vyake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Hiyo ndiyo sehemu zilizopewa koo za kabila la Zebuluni miji hiyo pamoja na vijiji vyake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Hiyo ndiyo sehemu zilizopewa koo za kabila la Zebuluni miji hiyo pamoja na vijiji vyake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Miji hii na vijiji vyake ilikuwa urithi wa Zabuloni, kufuatana na koo zao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Miji hii na vijiji vyake ilikuwa ndio urithi wa Zabuloni, ukoo kwa ukoo. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI16 Huu ndio urithi wa wana wa Zabuloni kwa kufuata jamaa zao; miji hii pamoja na vijiji vyake. Tazama sura |