Yoshua 15:53 - Swahili Revised Union Version Yanumu, Beth-tapua, Afeka; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yanimu, Beth-tapua, Afeka, Biblia Habari Njema - BHND Yanimu, Beth-tapua, Afeka, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yanimu, Beth-tapua, Afeka, Neno: Bibilia Takatifu Yanimu, Beth-Tapua, Afeka, Neno: Maandiko Matakatifu Yanimu, Beth-Tapua, Afeka, BIBLIA KISWAHILI Yanumu, Beth-tapua, Afeka; |
Hiyo nchi ya Tapua ilikuwa ni mali ya Manase; lakini ule mji wa Tapua uliokuwa katika mpaka wa Manase ulikuwa ni mali ya wana wa Efraimu.
[Ikawa siku zile Wafilisti walikusanyika ili kupigana na Israeli,] nao Waisraeli wakatoka juu ya Wafilisti kwenda vitani; wakatua karibu na Ebenezeri, nao Wafilisti wakatua huko Afeki.