Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Yoshua 15:54 - Swahili Revised Union Version

54 Humta, Kiriath-arba (ndio Hebroni) na Siori; miji tisa, pamoja na vijiji vyake.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

54 Humta, Kiriath-arba (yaani Hebroni) na Siori. Jumla ya miji waliyopewa ni tisa pamoja na vijiji vyake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

54 Humta, Kiriath-arba (yaani Hebroni) na Siori. Jumla ya miji waliyopewa ni tisa pamoja na vijiji vyake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

54 Humta, Kiriath-arba (yaani Hebroni) na Siori. Jumla ya miji waliyopewa ni tisa pamoja na vijiji vyake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

54 Humta, Kiriath-Arba (yaani Hebroni), na Siori; miji tisa pamoja na vijiji vyake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

54 Humta, Kiriath-Arba (yaani Hebroni), na Siori; miji tisa pamoja na vijiji vyake.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

54 Humta, Kiriath-arba (ndio Hebroni) na Siori; miji tisa, pamoja na vijiji vyake.

Tazama sura Nakili

Yoshua 15:54
6 Marejeleo ya Msalaba  

Sara akafa katika Kiriath-arba, ndio Hebroni, katika nchi ya Kanaani. Abrahamu akamlilia na kumwombolezea Sara.

Basi jina la Hebroni hapo kwanza uliitwa Kiriath-arba; huyo Arba alikuwa ni mtu mkubwa kupita wenziwe wote katika hao Waanaki. Hiyo nchi nayo ikatulia, vita vikakoma.

Kisha alimpa huyo Kalebu mwana wa Yefune sehemu kati ya wana wa Yuda, kama BWANA alivyomwamuru Yoshua, Kiriath-arba, ndiyo Hebroni (ni huyo Arba aliyekuwa babaye Anaki).

Yanumu, Beth-tapua, Afeka;

Maoni, Karmeli, Zifu, Yuta;

Kisha wakawapa wana wa Haruni, kuhani, Hebroni pamoja na mbuga zake za malisho yake, huo mji wa kukimbilia kwa ajili ya mwuaji, na Libna pamoja na malisho yake;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo