Ndivyo alivyotenda Daudi, vile vile kama BWANA alivyomwagiza; naye akawapiga Wafilisti toka Geba hata ujapo Gezeri.
Yoshua 12:12 - Swahili Revised Union Version mfalme wa Egloni, mmoja; na mfalme wa Gezeri, mmoja; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema mfalme wa Egloni, mfalme wa Gezeri, Biblia Habari Njema - BHND mfalme wa Egloni, mfalme wa Gezeri, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza mfalme wa Egloni, mfalme wa Gezeri, Neno: Bibilia Takatifu mfalme wa Egloni; mfalme wa Gezeri; BIBLIA KISWAHILI mfalme wa Egloni, mmoja; na mfalme wa Gezeri, mmoja; |
Ndivyo alivyotenda Daudi, vile vile kama BWANA alivyomwagiza; naye akawapiga Wafilisti toka Geba hata ujapo Gezeri.
Basi wale watoto wakaingia wakaimiliki nchi, nawe ukawatiisha wenyeji wa nchi mbele yao, ndio Wakanaani, ukawatia mikononi mwao, pamoja na wafalme wao, na watu wa nchi, wawatende kama wapendavyo.
Nao wakafanya hivyo, wakamletea hao wafalme watano hapo nje ya pango, yaani, mfalme wa Yerusalemu, na mfalme wa Hebroni, na mfalme wa Yarmuthi, na mfalme wa Lakishi, na mfalme wa Egloni.
Basi kwa hiyo Adoni-sedeki, mfalme wa Yerusalemu, akatuma ujumbe kwa Hohamu, mfalme wa Hebroni, na kwa Piramu, mfalme wa Yarmuthi, na kwa Yafia, mfalme wa Lakishi, na kwa Debiri, mfalme wa Egloni, akiwaambia,
Wakati huo Horamu, mfalme wa Gezeri, akakwea ili kuusaidia Lakishi, lakini Yoshua akampiga yeye na watu wake, hata asimsazie hata mtu mmoja.
Kisha Yoshua akapita kutoka hapo Lakishi, na Israeli wote pamoja naye, hadi wakafika Egloni; nao wakauzingira na kuushambulia;