2 Samueli 5:25 - Swahili Revised Union Version25 Ndivyo alivyotenda Daudi, vile vile kama BWANA alivyomwagiza; naye akawapiga Wafilisti toka Geba hata ujapo Gezeri. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Daudi alifanya kama alivyoamriwa na Mwenyezi-Mungu, naye akawapiga Wafilisti kutoka Geba hadi Gezeri. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Daudi alifanya kama alivyoamriwa na Mwenyezi-Mungu, naye akawapiga Wafilisti kutoka Geba hadi Gezeri. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Daudi alifanya kama alivyoamriwa na Mwenyezi-Mungu, naye akawapiga Wafilisti kutoka Geba hadi Gezeri. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 Basi Daudi akafanya kama Mwenyezi Mungu alivyomwagiza, naye akawaangusha Wafilisti njia yote kuanzia Geba hadi Gezeri. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 Basi Daudi akafanya kama bwana alivyomwagiza, naye akawaangusha Wafilisti njia yote kuanzia Geba hadi Gezeri. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI25 Ndivyo alivyotenda Daudi, vile vile kama BWANA alivyomwagiza; naye akawapiga Wafilisti toka Geba hata ujapo Gezeri. Tazama sura |