Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




2 Samueli 6:1 - Swahili Revised Union Version

1 Basi Daudi akakusanya tena wateule wote wa Israeli, watu elfu thelathini.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 Kwa mara nyingine, Daudi aliwakusanya wale askari bora wa Israeli, jumla yao 30,000.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Kwa mara nyingine, Daudi aliwakusanya wale askari bora wa Israeli, jumla yao 30,000.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 Kwa mara nyingine, Daudi aliwakusanya wale askari bora wa Israeli, jumla yao 30,000.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Tena Daudi akakusanya vijana wenye uwezo wote wa Israeli: watu elfu thelathini.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Tena Daudi akakusanya watu 30,000 wa Israeli waliochaguliwa.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

1 Basi Daudi akakusanya tena wateule wote wa Israeli, watu elfu thelathini.

Tazama sura Nakili




2 Samueli 6:1
7 Marejeleo ya Msalaba  

isipokuwa hivyo walivyokula vijana, na sehemu za watu waliokwenda nami, yaani, Aneri, na Eshkoli, na Mamre; na watwae wao sehemu zao.


Ndipo watu wa kabila zote za Israeli wakamwendea Daudi huko Hebroni, wakasema naye, wakinena, Tazama, sisi tu mfupa wako na nyama yako.


Ndipo Sulemani alipowakusanya wazee wa Israeli, na wakuu wote wa makabila na wakuu wa koo za wana wa Israeli, wamwendee mfalme Sulemani huko Yerusalemu, ili walipandishe sanduku la Agano la BWANA kutoka mji wa Daudi, yaani, Sayuni.


Basi Daudi akawakusanya Israeli wote, toka Shihori, kijito cha Misri, hadi pa kuingilia Hamathi, ili walilete sanduku la Mungu kutoka Kiriath-yearimu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo